Wakazi wa Isebania kaunti ya Migori watakiwa kudumisha usafi

  • | Citizen TV
    115 views

    Wizara ya Afya kaunti ya Migori imetoa tahadhari Kwa wenyeji wanaoishi katika mpaka wa Kenya na Tanzania katika eneo la Isebania kuzingatia usafi kufuatia mkurupuko wa kipindupindu katika eneo la Tarime nchini Tanzania.