Msaidizi wa kamishna Kilifi Bonaya anatuhumiwa kwamba aliuza chakula cha msaada

  • | Citizen TV
    108 views

    Msaidizi wa Kamishina wa kaunti ndogo ya Kilifi amefikishwa katika mahakama ya Garissa kwa tuhuma za ufisadi.