Maandalizi ya mbio za Sirikwa Classic yamekamilika Eldoret

  • | Citizen TV
    103 views

    Maandalizi ya Mbio za nyika za kimataifa za Sirikwa Classic zinazo dhaminiwa na runinga ya citizen, yamekamilika huku wanariadha tajika kutoka mataifa ya ughaibuni nao wamewasili mjini eldoret kushiriki mashindano hayo.