Watu watatu wafariki huku wengine zaidi ya 300 wakijeruhiwa baada ya gesi kulipuka huko Embakasi

  • | Citizen TV
    12,800 views

    Watu watatu wamefariki huku wengine zaidi ya 280 wakijeruhiwa baada ya gesi kulipuka na kuwaka moto katika kituo cha kujazia gesi mtaani Kabansora eneo la Embakasi hapa jijini Nairobi. Moto huo ulioanza jana usiku uliteketeza mali ya mamioni ya pesa huku familia zilizokaribu zikiachwa bila makao.