Serikali ya kaunti ya Kwale yaboresha mazingira ya miji ya Kwale na Diani

  • | Citizen TV
    160 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imezindua miradi ya kuboresha miundo msingi ya manispaa za Diani na Kwale kupitia taa za usalama, ujenzi wa barabara za kabro, maduka ya soko na vyoo vya umma katika manispaa husika.