Wanafunzi 113 wanaosomea ualimu katika chuo kikuu cha Garissa wapewa ufadhili

  • | Citizen TV
    180 views

    Katika juhudi za kupata suluhisho la uhaba wa walimu katika eneo la Kaskazini Mashariki, wanafunzi 113 wanaosomea taaluma ya uwalimu katika chuo kikuu cha Garissa wamepokea ufadhili wa masomo wa shilingi milioni 8.8 kupitia hazina ya ustawishaji eneobunge la Mandera Kusini.