Nakuru yaongoza kwa visa vya unyanyasaji kwa watoto

  • | K24 Video
    8 views

    Kaunti ya Nakuru inaongoza katika visa vya watoto kunyanyaswa mitandaoni. Kulingana na shirika la child fund,asilimia 99 ya watoto nakuru wanatumia huduma za mtandao ikilinganishwa na jumla ya asilimia 67 kote nchini. Hilo likijiri, bunge limetakiwa litunge sheria zinazoongoza matumizi ya teknolojia ya akili bandia yaani ai bila ya kudhibiti uvumbuzi.

    child