Pombe haramu yaua watu sita kaunti ya Kirinyaga

  • | K24 Video
    293 views

    Watu sita kijijini Kangai, eneo bunge la mwea, kaunti ya Kirinyaga wameaga dunia baada ya kubugia pombe haramu. Watu wengine watano wamedaiwa kupata matatizo ya kuona baada ya kubugia pombe hiyo.