Hakimu mkuu wa Thika Stella Atambo apongezwa kwa kusaidia jamii

  • | KBC Video
    5 views

    Siku ya wapendanao ilimjia mapema hakimu mkuu wa Thika ambaye amesifiwa kwa uadilifu wake kazini na pia kwa kuwasaidia wakazi. Stella Atambo alikumbana na hali ambayo hakutarajia pindi alipofika mahali pake pa kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive