Mshindi wa Shabiki Aviator

  • | Citizen TV
    481 views

    Kando na mashindano mengine ya jackpot ambayo yamejipatia umaarufu kwenye jukwaa la shabiki.com, kuna michezo mingine mingi kwa wapenzi wa spoti. Joseph Mwanza, mhudumu wa bodaboda kutoka mji wa machakos ndiye wa kwanza kabisa kujishindia donge nono la shilingi 1,000,000 kwenye aviator ya shabiki.com na kama anavyosimulia ni mchezo unaohitaji utulivu na kumakinika na kwamba ni mchezo kati ya mingine mingi inayowavutia wengi kutoka kwenye majumba ya kamari hadi mtandaoni.