"Rais hawezi kuongeza muda wake wa uongozi, hata kwa siku moja". Haya yalikuwa maneno ya rais wa Senegal Macky Sall kabla ya kuchaguliwa kwake mwaka 2012, lakini je, ametekeleza maneno haya?
Senegal imeingia katika sintofahamu kwa mara nyingine baada ya uchaguzi wa nchi hiyo kucheleweshwa kwa miezi kumi na rais anayemaliza muda wake ambaye aliahidi amani na utulivu kwa nchi yake.
#bbcswahili #senegal #uchaguzi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.