- 339 viewsDuration: 1:05Radio Citizen imetamatisha ziara yake ya siku tatu katika eneo la Nyanza kwa ibada katika kanisa la Embassy Chapel mjini Kisii. Wakiongozwa na Mkuu wa Radio, Tina Ogal, kikosi Radio Citizen kiliwashukuru wakazi wa eneo hilo kwa kuifanya Radio Citizen kuwa kituo nambari moja nchini, wakiahidi vipindi vya kuvutia na ziara zaidi ili kukutana ana kwa ana na mashabiki wake. Ziara hii iliwezeshwa kwa ushirikiano wa Safaricom PLC, Joymillers, na Pepsi.