Malori yaliobeba msaada yakisubiri katika mpaka wa Misri na Israel
Magari, yanayoelezewa ni malori yaliobeba misaada ya Taasisi ya Sinai ya Haki za Binadamu, yalionekana yamejipanga mstari katika mpaka wa Misri na Israel karibu na kivuko cha mpakani cha Nitzana katika kanda ya video iliyosambazwa katika mitandao yao ya kijamii Jumatatu (Februari 12).
Shirika la Habari la Reuters liliweza kuthibitisha eneo hilo ni karibu na kivuko cha mpakani cha Nitzana huko Misri. Sehemu za majumba, bara na magorofa zinalingana na picha za satellite za eneo hilo. Reuters haikuweza yenyewe kuthibitisha tarehe ambayo kanda hiyo ya video ilichukuliwa.
Israel imekanusha kuzuia msaada, wakati Misri huko siku za nyuma ilisema kuwa “vikwazo vya Israeli” ikwemo utaratibu wa kuyakagua malori yalikuwa yanachelewesha ufikishaji wa misaada kwa haraka ndani ya Ukanda wa Gaza.
Shambulizi la Israel dhidi ya Hamas limewaacha zaidi ya watu milioni 2.3 huko Gaza bila makazi na wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula, maji, madawa na mafuta.
Mashambulizi haya yalianza Oktoba 7 kufuatia mauaji ya Oktoba 7 huko kusini mwa Israel, yaliofanywa na wanamgambo kutoka Gaza waliouwa takriban watu 1,200 na kuwateka watu 250. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran
5 Jul 2025
- Doctors have credited the 'folds' with playing a crucial role in one's hearing.
5 Jul 2025
- Gachagua said this during her aunt's burial ceremony.
5 Jul 2025
- ODM was responding to The Standard Media's 'Raila's Turf Rebels' article.
6 Jul 2025
- Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
6 Jul 2025
- Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
6 Jul 2025
- The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
5 Jul 2025
- Opposition leaders have come out guns blazing to condemn President William Ruto's stance on constructing a church within the State House precincts, using what the president describes as his own money.
5 Jul 2025
- A family in Eldoret, Uasin Gishu County, is mourning the loss of their son, Timothy Bwibo, who succumbed to gunshot injuries on Friday night.
5 Jul 2025
- Former Meru Governor Kawira Mwangaza has been named the new party leader of Umoja na Maendeleo Party, taking over from Charles Wambora Mugambi.
5 Jul 2025
- National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has faulted the trend of tribal and divisive politics, cautioning that such narratives risk plunging the country into dangerous polarization.
5 Jul 2025
- President William Ruto has replaced former Kesses Member of Parliament Dr. Swarup Mishra as the chair of the Kenya BioVax Institute, three months after suspending him.
5 Jul 2025
- James McMurdock denies any wrongdoing over claims relating to pandemic-era loans taken out by his companies.
5 Jul 2025
- Kenya’s road to the 2025 World Athletics Championships in Tokyo enters a decisive phase on Saturday, July 5, 2025, as the Prefontaine Classic in Eugene, Oregon, doubles as the national trials for the women’s 5,000m and men’s 10,000m races. While reigning…