ODM wasema maafisa wa serikali wanapanga kunyakua ardhi ya umma kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    562 views

    Waziri wa madini na uchumi wa Baharini Salim Mvurya ametofautiana na chama cha ODM katika kaunti ya Kwale kinachodai baadhi maafisa wa serikali kuu na ile ya kaunti wana njama ya kunyakua ardhi za umma kaunti hiyo.