Wakazi wa Kakuma na Lokichogio walalamikia bei ghali ya mafuta

  • | Citizen TV
    412 views

    Serikali inapojibidiisha kupunguza gharama ya Wakenya kwa kupunguza bei ya mafuta, wakaazi wa Kakuma na Lokichogio Turkana magharibi wanalalamikia kuongezwa kwa bei ya mafuta kiholela katika maeneo hayo. Wakazi wanaitaka mamlaka ya kudhibiti kawi EPRA kuchukua hatua na kukomesha unyanyasaji na utapeli unaoendelea.