Wanahabari wa RMS wawakumbuka mashabiki na zawadi za siku ya Valentine

  • | Citizen TV
    1,738 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wapendanao, Wanahabari wa kampuni ya Royal Media Services walikuwa katika mstari wa mbele kuadhimisha siku hiyo kwa kuwaonyesha mapenzi mashabiki hapa jijini Nairobi.