- 351 viewsWaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron aliwasili Jumatano katika ghala la polisi mpakani Bulgaria karibu na Uwanja wa Ndege wa Sofia, ambako polisi wa Bulgaria wanahifadhi maboti yaliokusudiwa kutumika katika uvukaji mpaka haramu kupitia lango la English Channel ambapo polisi wa Bulgaria waliyakamata kwa msaada wa Uingereza. Wakati akijibu swali kuhusu kusitishwa ufadhili Gaza, Cameron aeleza: “Tunacho taka kufikia ni uhakika kamili kuwa hili halitatokea tena. Inabidi tuweke wazi hapa, kuwa inavyoelekea ni kana kwamba kulikuwa na watu wanaofanya kazi [katika shirika la Umoja wa Mataifa linaloshugulikia misaada kaskazini mwa Gaza], UNRWA, ambao walishiriki katika shambulizi la Oktoba 7 dhidi ya Israel. Hili halikubaliki. Ndiyo maana tulisitisha ufadhili wetu, na ndiyo maana uchunguzi huu unafanyika. Tunataka ufanyike kwa haraka, kwa sababu kuna wafanyakazi wengi wa UNRWA wanaofanya kazi muhimu kabisa ndani ya Gaza, ambako ndiyo mtandao pekee wa kusambaza misaada, kuhakikisha tunawafikishia misaada watu wanaouhitaji kwa dharura ya hali ya juu." #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #davidcameron #bulgaria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza aeleza sababu za kusitishwa ufadhili Gaza
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- 12 Aug 2025 - Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen now says no public servant should openly oppose the government of the day, warning that such conduct is both illegal and unconstitutional.
- 12 Aug 2025 - DAP-K leader Eugene Wamalwa now says there is a plan by President William Ruto to infiltrate the political outfit through frivolous petitions seeking a change in leadership.
- 12 Aug 2025 - Long-delayed road projects in northern Kenya are set to resume after years of inactivity, Deputy President Kithure Kindiki has said, citing a new funding approach that has brought contractors back to site.
- 12 Aug 2025 - A woman has been arrested in Bondeni, Nakuru County for allegedly supplying cannabis and cannabis-laced cookies to minors in what authorities describe as a deliberate attempt to lure children into drug abuse.
- 12 Aug 2025 - The National Police Service Commission (NPSC) is facing mounting internal tensions that threaten to derail the planned recruitment of 10,000 new police officers this September.
- 12 Aug 2025 - The government will also cover the medical expenses of all survivors.
- 12 Aug 2025 - The nominees will join several committees.
- 12 Aug 2025 - "Your energy has carried us this far, and we are loving every moment of it," Harambee Stars told Kenyans
- 12 Aug 2025 - The DP said the decision by President William Ruto remains in force and is meant to do away with past discriminatory tendencies targeting some communities.
- 12 Aug 2025 - The Speaker has been on the detectives' radar.