Uingereza yaeleza hatua ya suluhisho la Kuwepo Mataifa mawili
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron aliwasili Jumatano katika ghala la polisi mpakani Bulgaria karibu na Uwanja wa Ndege wa Sofia, ambako polisi wa Bulgaria wanahifadhi maboti yaliokusudiwa kutumika katika uvukaji mpaka haramu kupitia lango la English Channel ambapo polisi wa Bulgaria waliyakamata kwa msaada wa Uingereza.
Akijibu swali kuhusu suluhisho la mataifa mawili huko Mashariki ya Kati alisema:
“Sawa kile ambacho siku zote tumesema ni kuwa tunaunga mkono suluhisho la kuundwa mataifa mawili. Tunataka kuwepo Israel iliyo salama, huku ikiwepo Palestina iliyokuwa salama. Hii ndiyo njia ya kuwapa matumaini na heshima na amani, upande wa Waisraeli na Wapalestina. Sasa bila shaka, iwapo utakuwa na suluhisho la mataifa mawili, katika hatua fulani, itabidi uitambue Palestina kuwa ni taifa.
Na kile nilichosema ni kuwa haihitajiki kusubiri mpaka mchakato huo ukamilike. Usianze katika hatua za mwanzoni kwa sababu Wapalestina wanahitajika kufanya mageuzi na mabadiliko, kwa uchache wake ni katika mamlaka za Palestina, lakini inaweza kuja kama ni sehemu ya mchakato huo. Nafikiri hiyo ndiyo njia iliyosawa.” - Reuters
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran #davidcameron #bulgaria
12 Aug 2025
- The government will also cover the medical expenses of all survivors.
12 Aug 2025
- The nominees will join several committees.
12 Aug 2025
- The Speaker has been on the detectives' radar.
12 Aug 2025
- Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen now says no public servant should openly oppose the government of the day, warning that such conduct is both illegal and unconstitutional.
12 Aug 2025
- DAP-K leader Eugene Wamalwa now says there is a plan by President William Ruto to infiltrate the political outfit through frivolous petitions seeking a change in leadership.
12 Aug 2025
- Long-delayed road projects in northern Kenya are set to resume after years of inactivity, Deputy President Kithure Kindiki has said, citing a new funding approach that has brought contractors back to site.
12 Aug 2025
- A woman has been arrested in Bondeni, Nakuru County for allegedly supplying cannabis and cannabis-laced cookies to minors in what authorities describe as a deliberate attempt to lure children into drug abuse.
12 Aug 2025
- The National Police Service Commission (NPSC) is facing mounting internal tensions that threaten to derail the planned recruitment of 10,000 new police officers this September.
12 Aug 2025
- The government will also cover the medical expenses of all survivors.
12 Aug 2025
- The nominees will join several committees.
12 Aug 2025
- "Your energy has carried us this far, and we are loving every moment of it," Harambee Stars told Kenyans
12 Aug 2025
- The DP said the decision by President William Ruto remains in force and is meant to do away with past discriminatory tendencies targeting some communities.
12 Aug 2025
- The Speaker has been on the detectives' radar.