- 83 viewsMamilioni ya Wakenya wanaendelea kulalamikia ongezeko la gharama ya maisha, hali ambayo inaelezwa, kama inayosababishwa, kwa kiasi kikubwa, na juhudi za serikali ya nchi hiyo, za kudhibiti deni la umma, linalozidi kuongezeka. Haya yanajiri wakati ambapo thamani ya sarafu ya Kenya, imeimarika kwa mara ya kwanza, ndani ya kipindi cha miezi kadhaa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Sarafu ya Kenya yaimarika huku Wakenya walalamika kuhusu ongezeko la gharama ya maisha.
- 9 May 2025 - The government has set aside Ksh.950 million in the current financial year to settle claims from victims injured by wild animals.
- 9 May 2025 - Political leaders paid emotional tributes to the late Kasipul Member of Parliament Charles Ong'ondo Were during his funeral held in Oyugis, Homa Bay County.
- 9 May 2025 - Widows across the country have been encouraged to join women-led groups to gain access to essential investment and empowerment opportunities. This call to action was made during an empowerment event in Marsabit County, which brought together…
- 9 May 2025 - The government has finalised the agreement to lease four sugar factories to private millers in a bid to revitalise the struggling sugar industry.
- 9 May 2025 - Israel’s defence minister vowed a forceful response after a missile fired from Yemen was intercepted on Friday, in an attack claimed by the Iran-backed Houthi rebels. “The Houthis continue to launch Iranian missiles at Israel. As we promised, we will…
- 9 May 2025 - South Africa had “expressed concern” to the United States after reports it will accept from next week the first white Afrikaners it had offered to resettle, the foreign ministry said Friday. US media reported Thursday that Donald Trump’s administration…
- 9 May 2025 - The governor's relationship with Raila is rumoured to be hot and cold with cracks emerging in their association.
- 9 May 2025 - Leo XIV urged the Catholic Church to work urgently to restore the faith of millions in his first homily as pope Friday, a day after the little-known cardinal become the first head of the 2,000-year institution from the United States. Chicago-born Robert…
- 9 May 2025 - This comes after President Ruto nominated Erastus Ethekon as IEBC Chairperson.
- 9 May 2025 - CS Mbadi says focus has now shifted from imposing levies on citizens to implementing internal reforms.