Ungezeko la uharifu latia wasiwasi Zimbabwe

  • | VOA Swahili
    109 views
    Mamlaka nchini Zimbabwe imesema ina wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa uhalifu, hasa wizi wa kutumia silaha hali ambayo imepelekea maafisa wa polisi kuwafyatulia risasi na kuwauwa washukiwa. Columbus Mavhunga anaripoti kutoka Harare, ambako wachambuzi wanasema kiwango cha uhalifu kimeongezeka kwa sababu ya umaskini ambao umewaacha watu katika hali ya kukata tamaa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.