Waigizaji na wanamuziki Mombasa walalamika

  • | Citizen TV
    214 views

    Wanamuziki na waigizaji kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali kuu pamoja na zile za kaunti nchini kuekeza katika sekta hiyo ili kubuni nafasi za ajira miongoni mwa vijana. Wanadai kutelekezwa licha ya ahadi za mara kwa mara wakisema ukosefu wa bajeti, vyombo na sehemu za kurekodi kama changamoto zinazowakabili.