Wito watolewa kuwalinda wanariadha hapa nchini

  • | Citizen TV
    238 views

    Serikali ya Kitaifa imetakiwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa wanariadha wanaoiwakilisha na kuletea sifa nchi hii ili kuepuka maafa.