Wakaazi wa Tana River wapewa hamasisho kuhusu mambo ya kaunti

  • | Citizen TV
    111 views

    Mamia ya Wakaazi kutoka kaunti ya Tana River wamepokea mafunzo kuhusu uangalizi wa maswala tofauti yanayoendeshwa katika serikali ya kaunti.