Kaunti ya Embu yarekodi ongezeko la idadi ya visa vya Saratani

  • | TV 47
    22 views

    Viongozi Kaunti ya Embu wameelezea hofu kufuatia ongezeko la idadi ya visa vya saratani vinavyogunduliwa katika awamu ya mwisho kutokana na kutogunduliwa kwa visa hivyo mapema.

    Gavana wa Embu awarai wakaazi kufanyiwa ukaguzi mapema.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __