Rais Ruto aongoza mkutano wa serikali Naivasha

  • | Citizen TV
    1,042 views

    Rais William Ruto ameongoza mkutano wa siku nne wa baraza la mawaziri na viongozi wakuu serikalini ambao unafanyika katika mji wa Naivasha kaunti ya Nakuru.