Rais Ruto anaongoza mkutano wa Baraza la mawaziri Naivasha huku akitaka viongozi kuwajibika kazini

  • | TV 47
    21 views

    Rais William Ruto kwa hii sasa anaongoza mkutano wa pamoja wa baraza la mawaziri na wajumbe wa muungano wa Kenya Kwanza katika eneo la Naivasha Kaunti ya Nakuru.

    Akiwahutubia mawaziri na wajumbe hao mapema hii leo, kiongozi wa taifa amewataka viongozi kuwajibika kazini.

    Aidha Rais ametetea mradi wa nyumba za bei nafuu akiwataka wakenya kukumbatia mradi huo.

    Mkutano huo unanuia kutathmini utendakazi wa serikali.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __