- 146 viewsMamilioni ya vijana nchini Zambia wanapambana kupata kazi baada ya kuhitimu na wanaendelea kuwategemea wazazi wao kujikimu. Asilimia 82 ya idadi ya watu nchini humo ni chini ya umri wa miaka 35, kulingana na Umoja wa Mataifa. Mwaka 2018, kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Zambia kati ya vijana kiliripotiwa rasmi ni asilimia 41. Wahitimu watatu kutoka mji mkuu wa Lusaka, wanaelezea changamoto za kutafuta kazi kwa Kathy Short #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mamilioni ya vijana Zambia wanahangaika kutafuta ajira
- 26 Jun 2025 - Digital literacy powered Gen Z uprising, uplifted dissenting voices
- 26 Jun 2025 - Gen Z protesters paralyse Thika Road in city march
- 26 Jun 2025 - Maraga keeps his word to 'walk with Gen Z' as he builds 2027 momentum
- 26 Jun 2025 - It's yet another moment of faith as Kipyegon aims to inspire the world
- 26 Jun 2025 - Political appointees to lose board jobs in Cabinet's parastatal reforms
- 26 Jun 2025 - Property firms, telcos risk fines for locking out small internet firms from buildings
- 26 Jun 2025 - A nation pauses: Gen Zs force unofficial holiday to honour fallen protesters
- 26 Jun 2025 - State sued over razor wire barricade and a missing blogger
- 26 Jun 2025 - Police officers on Wednesday bombarded protesters in Nairobi with countless tear gas canisters and bullets, in a day that saw the governments fear of dissent reach hysterical levels.
- 25 Jun 2025 - The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has recorded 8 fatalities during the June 25th demonstrations that marked the first anniversary of anti-Finance Bill 2024 protests.