- 80 views
Kampuni ya Mitchell Cotts imekanusha madai kwamba shehena ya sukari iliyonaswa na halmashauri ya bandari katika mabehewa yake mwaka jana inauzwa humu nchini. Mkurugenzi wa operesheni katika kampuni hiyo James Rarieya amesema sukari hiyo ilikuwa imeidhinishwa kuwa salama kwa matumzi iliposafirishwa kutoka Mauritius kabla ya meli iliyokuwa imebeba mabehewa hayo kupata hitilafu ilipotia nanga katika bandari ya Mombasa ambapo mabehewa 13 yalilowa maji na sukari hiyo kuharibika. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Juney Karisa shirika la kitaifa la kukadiria ubora wa bidhaa limechukua sampuli kutoka zaidi ya magunia elfu 2 kabla ya sukari hiyo kuachiliwa kwa muagizaji.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Madai ya sukari iliyoharibika kuuzwa Kenya yakanushwa
- - Duniani Leo ››
- 26 Jun 2025 - Kenyans turned out in massive numbers to demand justice for Gen Zs who died.
- 26 Jun 2025 - MPs scatter for safety amid fear of second 'visit' by irate Gen Zs
- 26 Jun 2025 - Death, violence, and looting in Rift Valley as protesters take to the streets
- 26 Jun 2025 - Kenya anniversary protests turn violent, 8 dead
- 26 Jun 2025 - Mix of uneasy calm, running battles mark day in Nyanza and Western
- 26 Jun 2025 - Your guns won't silence our voices, opposition and protesters tell Ruto
- 26 Jun 2025 - Standard Group: Illegal TV shutdown undermines free press
- 26 Jun 2025 - Micro, Small and Medium Enterprises Development PS Susan Mang’eni condemns the looting.
- 26 Jun 2025 - Invasive practice that has been tackled by court rulings and government action. So why is it still going on?
- 26 Jun 2025 - The police concealed their identities using masks and wore civilian clothes.