Saratani Ya Titi: Urekebishaji waanza hospitali ya chuo cha Kenyatta

  • | KBC Video
    44 views

    Hospitali ya matibabu maalum na mafunzo ya Chuo Kikuu cha Kenyatta imeanzisha upasuaji wa kurekebisha matiti ya waathiriwa wa saratani ya matiti. Mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo Profesa Olive Mugenda amesema yamkini wanawake 10 watapokea huduma hizo kuanzia juma hili na akatoa wito kwa serikali na wadau wengine kukadiria kutoa ufadhili kuwezesha waathiriwa zaidi kunufaika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive