Zaidi ya wasichana 120 wapata hifadhi Pokot Magharibi, wanatoroka tamaduni potovu.

  • | KBC Video
    8 views

    Zaidi ya wasichana 120 katika kaunti ya Pokot Magharibi wanasimulia kuhusu ustahimilifu, ujasiri na kujitolea kwa hali na mali wanapotafuta elimu huku wakiandamwa na tamaduni potovu. Licha ya kupata hifadhi katika shule ya upili ya Wasichana ya AGC Tipet, ndoto ya kufaulu maishani bado ni changamoto kubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive