Mlinzi wa usiku wa shule ya msingi ya AIC Malivani, Makueni auwawa

  • | Citizen TV
    348 views

    Mlinzi wa usiku katika shule ya msingi ya AIC Malivani kaunti ya Makueni ameuawa na majambazi usiku wa kuamkia leo.