Kikao cha baraza la mawaziri kimeendelea kwa siku ya pili mjini Naivasha

  • | Citizen TV
    232 views

    Mkutano wa baraza la mawaziri unaoendelea mjini Naivasha umeingia siku ya pili hii leo huku baraza la magavana likitarajiwa kuwasilisha mikakati yake mbele ya kikao hicho. Itakumbukwa kuwa, magavana wameitisha kikao kingine alhamisi kujadili kile wanasema ni kuhangaishwa na serikali kuu katika mgao na baadhi ya majukumu yake.