Bunge la kaunti ya Makueni lawalaumu polisi kwa kutomnasa mshukiwa wa ubakaji

  • | Citizen TV
    554 views

    Bunge la kaunti ya Makueni limeilaumu idara ya polisi kwa kutomkamata na kumchukulia hatua mwanamume mmoja anayedaiwa kumbaka na kumtunga mimba mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya upili ya Kyaani iliyoko katika eneo la kibwezi. msichana huyo alikumbwa na matatizo ya kiafya alipokuwa akisaidiwa kuavya mimba hiyo na mshukiwa katika kiliniki moja ya kibnafsi kaunti ya Makueni.