Kalonzo akashifu kukithiri kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    1,784 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amekashifu kukithiri kwa ufisadi katika asasi mbali mbali za serikali. Akizungumza katika kaunti ya Nakuru, Kalonzo alilalamikia ongezeko la visa vya ufisadi haswa kwa maafisa wa umma kama ilivyofichuliwa na ripoti ya tume ya huduma za umma kuhusu maafisa wa serikali waliotumia stakabadhi ghushi za masomo ili kupata kazi. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, kinara huyo wa azimio aidha aliikashifu serikali ya Kenya kwaza kwa kupanda kwa gharama ya maisha.