Serikali yatangaza kuimarika kwa uchumi

  • | Citizen TV
    2,758 views

    Waziri wa hazina ya kitaifa Profesa Njuguna Ndung'u ametoa hakikisho kuwa taifa limejinasua kiuchumi. Waziri Ndung’u ameahidi kuwa gharama ya maisha itaanza kuimarika kwa kiasi kikubwa. Katika siku ya pili ya kongamano la mawaziri mjini naivasha, serikali kuu aidha imedokeza kuwa mzigo wa kiuchumi umeanza kuwa mwepesi baada malipo ya baadhi ya madeni ya kimataifa.