Watabiri wa hali ya anga wasema joto jingi litaendelea kwa muda

  • | Citizen TV
    2,863 views

    Joto jingi limekuwa likishuhudiwa katika baadhi ya maeneo nchini huku wananchi wakihisi sio la kawaida. Haya yanajiri huku idara ya utabiri wa hali ya anga ikitabiri kuwa hali hii itaendelea hadi msimu wa mvua ya vuli mwezi Machi-Aprili-Mei itakapoanza. Mashirima Kapombe alizungumza na Profesa Gilbert Ouma kutoka kitengo cha utabiri wa hali ya anga chuo kikuu cha Nairobi na saa anaarifu.