| MWANAMKE BOMBA | Irene Leshore anawashughulikia watoto wa kurandaranda mitaani

  • | Citizen TV
    720 views

    Na huku suala la watoto wa kurandaranda mitaani likiwa bado ni changamoto, kuna wale ambao wamejitolea kuubeba mzigo huo binafsi ili kuokoa maisha ya watoto hao. Kwenye makala ya wiki hii ya Mwanamke Bomba tunamuangazia irene leshore,aliyejitolea kuwanusuru watoto katika mitaa ya mji wa Maralal kaunti ya Samburu,na kubadili tabia zao kupitia makao ya watoto aliyoasisi kabla kuwarejesha shuleni.