- 439 viewsMoshi ukitanda katika anga ya Gaza kama unavyoonekana Jumatatu (Februari 19) kutoka mahema ya kambi ya Rafah ya Wapalestina waliokoseshwa makazi. Umoja wa Ulaya Jumatatu uliitahadharisha Israel isianzishe mashambulizi huko Rafah ambako mawaziri walisema italeta janga kwa wakimbizi takriban milioni 1.5 waliojazana katika mji huo ulioko kusini kando ya Gaza. Israel inajitayarisha kufanya uvamizi wa ardhini katika eneo finyu la kusini mwa mji, ambao imeuita ni ngome ya mwisho inayodhibitiwa na Hamas baada ya takriban miezi mitano ya mapigano. Israel inatarajia kuendelea na operesheni kamili ya kijeshi huko Gaza kwa wiki nyingine sita hadi nane wakati ikijitayarisha kuivamia Rafah, maafisa wanne wanaoufahamu mkakati huo wamesema. Wakuu wa Jeshi wanaamini wanaweza kuharibu vikali uwezo wa kijeshi uliosalia wa Hamas kwa kipindi hicho, ikitoa njia kuhamia katika awamu ya mashambulizi ya malengo ya nguvu ya chini na operesheni ya majeshi maalum, kulingana na maafisa wawili wa Israeli na maafisa wa ukanda wakiomba kutotajwa majina yao ili waweze kuwa huru kuongea. Kuna nafasi ndogo sana ya Serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu itazingatia ukosoaji wa kimataifa kusitisha mashambulizi ya ardhini huko Rafah, alisema Avi Melamed, afisa wa zamani wa intelijensia wa Israeli na msuluhishi katika Intifada ya kwanza na ya pili, machafuko, ya mwaka 1980 na 2000. Takriban Wapalestina 29,092 wameuawa na wengine 69,028 wamejeruhiwa kutokana na mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, wizara ya afya Gaza ilisema Jumatatu. Katika kipindi cha saa 24, Wapalestina 107 waliuawa na wengine 145 walijeruhiwa, wizara hiyo iliongeza katika taarifa yake. -Reuters #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #iran
EU yatahadharisha shambulizi Rafah litaleta janga kwa wakimbizi
- 1 Jul 2025 - The government is now appealing to parents, religious leaders, and community elders to take a more proactive role in guiding young Kenyans toward peaceful and lawful means of civic engagement.
- 1 Jul 2025 - The decision, made amid mounting public pressure on the state's response to the unrest, was confirmed in a statement issued Monday by Health Cabinet Secretary Aden Duale.
- 1 Jul 2025 - The autopsies, conducted at Kilome MNH Hospital Mortuary, revealed that Garson Mutisya, 33, and Makau Mualuko, 23, sustained fatal gunshot wounds to the chest, with the bullets exiting through their backs.
- 1 Jul 2025 - A 92-year-old British man was convicted on Monday for a rape and murder committed nearly 60 years ago, in one of the UK's longest-running cold cases.
- 30 Jun 2025 - Four former executives at South Africa's failing transport company were arrested and charged Monday over allegations of corruption worth millions of dollars in a high-profile case linked to the plunder of state resources.
- 30 Jun 2025 - A peace deal between the Democratic Republic of Congo and Rwanda aimed at ending decades of conflict in eastern DRC paves the way for "a new era of stability", Congolese President Felix Tshisekedi said Monday.
- 30 Jun 2025 - A Nairobi court has acquitted a former Officer Commanding Station (OCS) who had been charged with aiding a suspect to escape from lawful custody.
- 30 Jun 2025 - The government has called upon parents, religious leaders, and elders to guide the younger generation to exercise restraint and embrace peaceful, constructive ways of demanding accountability from the state.
- 30 Jun 2025 - Interior Principal Secretary Raymond Omollo, speaking at the official opening of Mutarakwa and Kapletundo Divisions in Bomet County, urged adults to play a more active role in mentoring youth and instilling respect for Kenya's institutions and legal…
- 30 Jun 2025 - Amin revealed that 448 suspects have already been charged in court