Mzozo watokota kuhusu hoja ya kumngátua mamlakani naibu gavana wa Kisii Monda

  • | KBC Video
    31 views

    Naibu gavana wa kaunti ya Kisii, Robert Monda amepuuza hoja inayolenga kumbandua afisini. Monda alisema kuwa hoja hiyo imechochewa na mvutano baina yake na gavana Simba Arati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive