Shambulizi la bomu lililovurumishwa na waasi wa M23 laua watoto 2 na mama mmoja #
Kanda ya video hii imepigwa katika Mji wa sake ambao mpaka sasa unashuhudia mashambulizi ya waasi wa M23. Kwa mujibu wa mwandishi wetu Austere Malivika ambaye alitembelea eneo hilo na kuwahoji wananchi kuhusu hali ya vita inayoendelea katika eneo hilo anaripoti Jumapili Watoto wa 2 na mama mmoja wameuwawa kwa bomu lililovurumishwa na waasi wa M23. Katika mahojiano na moja wa mkazi wa eneo hili la milimani anaeleza jinsi bomu lilivyoripuka baada ya kutua katika eneo lao kumjeruhi mtu moja. Wakati huo huo mapigano makali yanasikika yakiendelea kati ya majeshi la serikali ya DRC na waasi wa M23. Endelea kusikiliza...
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #milimayasake #austeremalivika
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- The drivers were told to suspend their trip until further notice.
12 Aug 2025
- The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
12 Aug 2025
- The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
12 Aug 2025
- Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
12 Aug 2025
- Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- The drivers were told to suspend their trip until further notice.
12 Aug 2025
- The High Court on Tuesday dismissed a petition challenging the appointment of PSC Vice Chairperson Mary Kimonye and commissioners Boya Molu, Irene Asienga, and Francis Meja.
12 Aug 2025
- The deal will solve a diplomatic fallout between the two countries.
12 Aug 2025
- According to a police report filed at Kehancha Police Station under OB No. 7/10/8/2025, Corporal James King’ori Karimi, attached to DCI Kuria West, discovered his pistol missing in the early hours of Sunday morning.