Waathiriwa wa mafuriko Tana River wapewa msaada

  • | Citizen TV
    87 views

    Familia zaidi ya 6,000 zilizoathirika na mafuriko maeneo ya Bura, hola na Garsen kaunti ya Tana river na kusalia kuishi katika kambi zimepewa chakula na shirika la Direct Aid.