Je, unafahamu wapi utafanya biashara ukiwa Kivu
Mji wa kibiashara wa Kituku ni sehemu ya soko kubwa la bidhaa mbalimbali. Kadhalika kuna shughuli za usafirishaji, ndiyo sababu utawakuta watu wengi wenye biashara ya usafiri wa pikipiki wakisubiri wateja na kuwapeleka katikati ya Mji ambako sasa biashara mbalimbali huuzwa barabarani ama kwenye baadhi ya maduka.
Mwandishi wa VOA Austere Malivika aliyetembelea eneo hilo ameripoti kuwa wafanyabiashara wa huduma ya piki hali yao ya maisha kutokana na vita mashariki ya Congo hasa hivi vya M23 ambavyo vimeathiri shughuli zote ni mbaya. Mjini Goma na Kote Kivu kaskazini kutokana na vijiji vingi kuchukuliwa na waasi imepelekea wakulima kuhama makaazi yao na kuwa wakimbizi katika mji wa Goma.
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- The drivers were told to suspend their trip until further notice.
12 Aug 2025
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
12 Aug 2025
- The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
12 Aug 2025
- The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
12 Aug 2025
- Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
12 Aug 2025
- Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- When family planning fails: Bungoma woman's IUD pregnancy sparks call for awareness
12 Aug 2025
- Man's lifeless body discovered in a police cell within hours of his arrest.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- Country's electricity demand rising by over 100mw every year