Kituku kituo kikuu cha biashara kwa Kivu Kaskazini na Kivu Kusini
Video hii imechukuliwa katika soko la Kituku liliyopo kwenye bandari ndogo ambayo inapokea wafanya biashara wengi na wakulima kutoka kwenye vijiji mbali mbali huko Kivu Kaskazini na Kivu Kusini.
Kati yao ni wafanyabiashara wa mkaa na watu wanao fika bandarini kwa kutumia boti wakitoka vijijini na wengine wakiondoka kwenda vijijini ambako wanafuata mazao ya chakula, boti zote wanazotumia zote zimetengenezwa kwa mbao.
Boti hizi hubeba mkaa, ndizi, mbuzi na vitu vingine kuja Goma ambako kuna maelfu ya watu wanaopitia hali ngumu ya kimaisha.
#goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #milimayasake #austeremalivika
9 May 2024
- Aileen’s husband the late CDF Francis Ogolla died in a chopper crash on April 19.
8 May 2024
- Questions still linger about what happens to the primary demand issued by doctors.
8 May 2024
- The passports were from Kenyans in the diaspora who had made the applications a month ago.
9 May 2024
- Aileen’s husband the late CDF Francis Ogolla died in a chopper crash on April 19.
9 May 2024
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has announced the closure of a section of Nairobi Bound Lanes along the Kenol-Sagana (A2) Road. KeNHA said the closure is due to heavy rains causing debris to fall from the back slope of the road section at…
9 May 2024
- eCitizen targets Sh1b daily from 30 million subscribers
9 May 2024
- Deal finally reached to end doctors' strike
9 May 2024
- Several schools are unlikely to reopen despite Ruto's directive
9 May 2024
- Agriculture CS says his former wife is bitter and behind his woes as Bumula MP says the Minister should be held accountable for the fake fertiliser scam.
9 May 2024
- Acquiring a good property advocate who has good standing with the Law Society of Kenya.
9 May 2024
- Calls for their prosecution.
9 May 2024
- With the May 15 deadline quickly approaching, family, friends and relatives are faced with the gigantic task of raising the “blood money”.
9 May 2024
- Sources say she will be joining Citizen TV to replace Victoria Rubadiri who quit to join CNN.