- 52 viewsMwanaharakati na mshindi wa tuzo ya Amani jijni Mombasa anatumia ushawishi wake katika jamii kama njia ya kubadilisha magenge ya vijana wahalifu mitaani kujiajiri kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Zaaidi ya makundi 150 ya vijana wamefaidika na miradi huo na kuanzisha biashara mbalimbali kama ufugaji wa kuku, uuzaji wa kuni, Maji na kadhalika. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mwanaharakati ajitolea kuwasaidia vijana Mombasa
- 12 Aug 2025 - The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
- 12 Aug 2025 - Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
- 12 Aug 2025 - Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
- 12 Aug 2025 - The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
- 12 Aug 2025 - The bank will be created before the year ends.
- 12 Aug 2025 - The drivers were told to suspend their trip until further notice.
- 12 Aug 2025 - The High Court on Tuesday dismissed a petition challenging the appointment of PSC Vice Chairperson Mary Kimonye and commissioners Boya Molu, Irene Asienga, and Francis Meja.
- 12 Aug 2025 - The deal will solve a diplomatic fallout between the two countries.
- 12 Aug 2025 - According to a police report filed at Kehancha Police Station under OB No. 7/10/8/2025, Corporal James King’ori Karimi, attached to DCI Kuria West, discovered his pistol missing in the early hours of Sunday morning.