Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Nakuru yadai hazina ya bima ya NHIF shilingi milioni 500

  • | Citizen TV
    167 views

    Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Nakuru inaidai hazina ya bima ya afya ya kitaifa (NHIF) shilingi millioni mia tano za mpango wa linda mama.