- 72 viewsKikao cha sita cha umoja wa mataifa kuhusu mazingira UNEA sita kimekosolewa kwa kukosa kuendeleza mazungumzo ya kubuni sheria ya kimataifa ya kupiga marufuku uzalishaji wa plastiki. Washiriki katika mazungumzo haya mbayo yamekuwa yakiendelea Nairobi Kenya wanalalamika ushawishi wa baadhi ya mataifa hasa yale yanayozalisha kawi kupitia mafuta ya kisuku kudhoofisha mazungumzo haya kwa sababu zao kibinafsi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kikao cha UNEA chakosolewa kwa kushindwa kujadili jinsi kukabiliana uzalishaji wa plastiki.
- - Ringtone |The Trend ››
- 18 May 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has cautioned leaders against taking the country back to dark days when politics of ethnicity were commonplace.
- 18 May 2024 - President William Ruto's allies have come out guns blazing to dismiss the Limuru III meeting that happened on Friday, terming it as a divisive way of trying to push an agenda and undermine the Kenya Kwanza rule.
- 18 May 2024 - The Vatican on Friday tightened procedures for evaluating reported supernatural events such as weeping Madonnas and blood-dripping crucifixes that have for centuries whipped up the Catholic faithful.
- 18 May 2024 - The Ministry of Health has warned of possible outbreaks of waterborne diseases and other infections in schools following the recent floods experienced in most parts of the country.
- 18 May 2024 - Cases of bird flu have been confirmed among wild fowl in western China, the agriculture ministry said on Saturday, as concerns grow over a U.S. outbreak infecting cattle herds.
- 18 May 2024 - EACC has recommended the prosecution of politician Cyrus Jirongo, FKF President Nick Mwendwa and former Sports PS Amb. Peter Kaberia.
- 18 May 2024 - He said politics should go beyond regions and tribes
- 18 May 2024 - Several cases of cholera have been reported since the onset of floods
- 18 May 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has cautioned leaders against taking the country back to dark days when politics of ethnicity were commonplace. Mudavadi regretted that politics were previously determined by ethnic configurations and engagements…
- 18 May 2024 - Admits that a number of their existing brigades were empty