Waziri Mkuu mstaafu amuenzi hayati Ali Hassan Mwinyi
Ali Hassan Mwinyi, ambaye katika awamu mbili kama rais wa Tanzania alisimamia kuanzishwa kwa demokrasia ya vyama vingi na kuanzishwa kwa uchumi huria, amefariki akiwa na umri wa miaka 98.
Alizaliwa Mei 8, 1925 katika kijiji cha Kivure katika mkoa wa Pwani. Mwinyi alikulia katika kisiwa kilichokuwa na utawala wa kiasi cha Zanzibar na kufanya kazi ya ualimu kabla ya kujiunga na utumishi wa serikali. Alishikilia nyadhifa mbali mbali za juu, ikiwemo katibu mkuu katika wizara ya elimu ya Zanzibar.
Mwinyi aliaga dunia Alhamisi kutokana na saratani ya mapafu katika mji wa wa kibiashara, Dar es Salaam, nchini Tanzania ambako alikuwa amelazwa hospitali kwa wiki kadhaa, Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza katika kituo cha televisheni cha taifa TBC1.
#alihassanmwinyi #hayati #tanzania #tanzia #wazirimkuu #mstaafu #josephwarioba
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- The drivers were told to suspend their trip until further notice.
12 Aug 2025
- The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
12 Aug 2025
- The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
12 Aug 2025
- The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
12 Aug 2025
- Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
12 Aug 2025
- Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
12 Aug 2025
- The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
12 Aug 2025
- Man's lifeless body discovered in a police cell within hours of his arrest.
12 Aug 2025
- The bank will be created before the year ends.
12 Aug 2025
- The drivers were told to suspend their trip until further notice.
12 Aug 2025
- The High Court on Tuesday dismissed a petition challenging the appointment of PSC Vice Chairperson Mary Kimonye and commissioners Boya Molu, Irene Asienga, and Francis Meja.