Zakaria Wanyaga aunda baiskeli iliyo na injini

  • | KBC Video
    33 views

    Msemo wa zamani unatambua kwamba hitaji, ndilo chimbuko la uvumbuzi. Msemo huu ni dhahiri kwa Zakaria Wanyaga mwanamume wa umri wa makamu kutoka eneo la Gitimbene viungani mwa mji wa Meru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive