- 158 viewsMadereva wanaoendesha malori ya masafa marefu Afrika Mashariki wanakabiliwa na changamoto nyingi za kiusalama ikiwa ni pamoja na utekaji nyara katika mataifa yanayokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenywe. Ikizingatiwa kuwa mataifa hao yanategemea sana usafirishaji wa bidhaa kutoka bandani ya Mombasa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Madereva wa maroli Afrika Mashariki wanavyokabiliwa na changamoto za kiusalama
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
- 12 Aug 2025 - KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
- 12 Aug 2025 - How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
- 12 Aug 2025 - Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
- 12 Aug 2025 - Ruto puts banks to task over constant high lending rates
- 12 Aug 2025 - Unbowed Lagat returns despite murder probe
- 12 Aug 2025 - Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
- 12 Aug 2025 - Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business
- 12 Aug 2025 - Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens