Maafisa wa DCI wanasa shehena ya kashfa ya ulaghai wa madini Mombasa

  • | Citizen TV
    1,229 views

    Maafisa wa upelelezi mjini Mombasa wamenasa shehena inayohusishwa na kashfa ya ulaghai wa madini. Kulingana na wapelelezi, matapeli wa dhababu kutoka congo, uganda na humu nchini walishirikiana na maafisa wa bandari na halmashauri ya utozaji ushuru kumlaghai mfanyabiashara wa kichina shilingi milioni 150 wakimpa shehena za mchanga badala ya madini ya tantalam aliyotarajia.